MSEMAJI WA YANGA BARAKA KIZUGUTI AKIZUNGUMZA NA WANAHABARI LEO JIJINI DAR ES SALAAM
Timu ya yanga ya dar es salaam leo
imetamba kumuua minzani wake katika mashindano ya club bingwa ya Africa ambapo
siku ya jumamosi yanga itakutana uso kwa uso na timu kutoka visiwa vya commoro,
Yanga itaanza kampeni zake katika
michuano ya kimataifa kwa kucheza na timi ya Comoro zin kutoka commoro katika
uwanja wa taifa jijini dar es salaam siku ya jumamosi ya wiki hii,ambapo yanga
ikishinda itakutana AL AHAL ya misri,
Akizungumza na wananahabari jijini dar
es salaam leo msemaji wa yanga BARAKA KIZUGUTO amesema kuwa yanga imejipamhga
kikamilifu kuhakikisha inaibuka mshindi katika mchezo huo muhimi
Akitaja viingilio amesema kuwa
kiingilio cha juu katika mchezo huo ni shilingi 30000 na cha chini kitakuwa
elfu tamo tuu hivyo ameomba watanzania wote kujitokeza kuipa sapot timu ya
yanga kwani inawakilisha nchi
|
No comments:
Post a Comment