Saturday, March 29, 2014

KITUKO KUTOKA CHALINZE--BARA BARA MBOVU ZAKWAMISHA KAMPENI ZA CHADEMA KWA MASAA KADHAA,MGOMBEA UBUNGE MATHAYO TORONGEY AJITOSHA KUCHIMBA BARABARA MAMBO YAENDE,CHEKI HAPA

Panaitwa Kidung'hwe, Kata ya Msoga kwao mkulu...hakuna barabara kuna kile ambacho kinaitwa mapitio ya mifugo.

Imebidi mgombea ubunge mathayo torongei kuingia kazini ili kuokoa jahazi baada ya msafara wao kukutana na miundominu mibovu ya barabara ya chalinze wakati wakienda kwenye kampeni za uchaguzi mdogo huko chalinze
Mathayo torongei kiwa kazini



No comments: