LG YAJA NA TECHNOLOGIA MPYA,YAZINDUA FREDGE YENYE UWEZO WA KUFANYA KAZI BILA KUWEKWA KWENYE UMEME KWA MASAA KUMI,ITIZAME HAPA.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Hotpoint
Tanzania, Mayur Parikh ambao ni wasambazaji wa bidhaa ya LG, akiwa na
Meneja Masoko wa LG, Khakti Vellu ( kulia) pamoja na mfanyakazi wa
kampuni hiyo wakizindua jokofu lenye uwezo wa kuifadhi ubaridi kwa muda
mrefu. Uzinduzi huo ulifanyika leo jijini Dar es Salaam.
Waandishi wa habari wakisikiliza kwa makini uzinduzi uliofanyika jijini Dar es Salaam
kampuni ya hot point tanzania ambao ni wasambazaji wa bidhaa za LG wamezindua friji ambayo kwa tanzania inatajwa kuwa ya kwanza ambayo ina uwezo wa kukaa na chaji kwa masaa saba bila kuwekwa kwenye umeme.Akizungumza na wanahabari jijini dar es salaam wakati wa uzinduzi huo mkurugenzi mtendaji wa kampuni hiyo Mayur Parikh amesema amesema kuwa wamegundua frij aina ya ever cool yanye uwezo wa kutunza moto kwa masaa kumi pale umeme unapokatika,huku ikiwa na sehemu mbalimbali za kuwekea vitu ili visioze kama vyakula na bidhaa nyingine nyingi.pia frij hiyo ina uwezo mkubwa wa kuifadhi vitu mbalimbali,pamoja na vifaa vingine kama taa vyenye uwezo kuliko aina nyingine ya frij hapa tanzaniapamoja na warent ya miaka kumi kwa atakayeinunua huku ikiwa bei yake ni shilingi milion 1 na laki mbili
No comments:
Post a Comment