Zitto Kabwe
S2 au S3
Kuna ambao wanaamini kabisa kwamba kuifukua Tanganyika ndani ya Muungano kutavunja Muungano na hivyo wanataka S2 ziboreshwe. Kuna ambao wanataka S2 kwa kufuata mkumbo tu na kwamba ni 'sera' ya chama chao.

Kuna ambao wanaamini kabisa kwamba S3 ndio njia ya kuimarisha Muungano
na kuufanya endelevu kwa kuweka uwazi katika muundo wa Muungano na usawa
wa Washirika.
Kuna ambao S3 ni njia ya kutokea kuelekea kuvunja muungano maana ama hawaamini katika muungano au hawana itikadi yeyote (ideological bankruptcy).
Wanaong'ang'ania S2 wakidhani wanalinda Muungano watambue kuwa wanawapa nguvu S3 wanaotaka kuvunja muungano.
Ni busara na maono ya mbali kwamba wale wanaoupenda Muungano (
ideologically clear people) kuhakikisha S3 zenye Serikali imara ya
muungano. Usipotaka mabadiliko, mabadiliko yatakutaka. Tafakari
- Filemoni Tenu, Eric Samba and 171 others like this.
No comments:
Post a Comment