Picha na Maktaba
|
Habari
zilizotufikia Hivi Punde zinasema Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya
wamelazimika Kutumia Mabomu ya Machozi Kuwatawanya Wafanyabiashara
Ndogondogo maarufu Kamam Wamachinga mara baada ya wamachinga hao
Kuanzisha Vurugu kubwa.
Mwandishi Akielezea zaidi Ameserma Tukio Hilo
limetokea Mara baada ya Wamachinga waliondolewa kwenye maeneo
yasiyoruhusiwa Kufanya Biashara Walipelekwa Eneo Lingine Maalum kwajili
ya Kufanyia Biashara zao Wapo Baadhi ya wamachinga Walikosa Maeneo ya
Kufanyia Bishara Ndipo Leo..
Walipowavamia
Wamachinga Wenzao waliokuwa wakiendelea na Biashara zao na kuwaletea
Vurugu Ili kuwashinikiza Waandamane kwa Pamoja Kwenda Kudai Maeneo zaidi
ya Kufanyia Biashara Hali Iliyopelekea Kuzuka Kwa Vurugu Kubwa Na Jeshi
la Polisi wakalazimika Kuingilia Kati kwa Kutumia Mabomu ya Machozi Ili
kuzuia Vurugu zaidi.
No comments:
Post a Comment