Sunday, April 13, 2014

JESHI LA TANZANIA LAANZA KAZI YA KUWAOKOA WATANZANIA NA MAFURIKO,WAWASILI KATIKA DARAJA LILILOVUNJIKA BAGAMOYO

Makamanda wa jeshi la tanzania wakiwa wamewasili katika daraja lililovunjika tayari kufanya kazi ya kulirudisha katika hali yke baada ya kukatika jana na mvua kubwa iliyonyesha

Muonekano wa daraja hilo baada ya kukatika
Kazi inaanza hivi

No comments: