HABARI AMBAZO ZIMETUFIKIA HAPA NI KUWA MAKAMU WA RAISI WA TANZANIA DK MOHAMED BILAL AKIWA NA VIONGOZI WENGINE AKIWEMO KAMANDA SULEMAN KOVA WAMENUSURIKA KIFO MUDA HUU BAADA YA HELCOPTA WALIYOKUWA WANATAKA KUPANDA KWA AJILI YA KUKAGUA MAFURIKO DAR ES SALAAM KUANGUKA MUDA MCHACHE BAADA YA KUPAA KATIKA UWANJA WA NDEGE WA KIJESHI
,HABARI AMBAZO ZIMERIPOTIWA NA KITUO CHA RADIO ONE SASA HIVI ZINASEMA KUWA KATIKA AJALI HIYO HAKUNA MADHARA YA VIFO ILA VIONGOZI HAO WAMEONDOLEWA ENEO LA TUKIO MARA MOJA NA KUPELEKWA HOSPITALI AMBAYO BADO HAIJAJULIKANA NI WAPI LAKINI BADO HAIJAJULIKANA KAMA WAMEUMIA AU LAA.
ENDELEA KUWA NASI
No comments:
Post a Comment