Friday, April 4, 2014

KWA UFUPI----WANAHABARI WA MASWALA YA UKIMWI WAPIGWA SOMO DAR

Waandishi wa habari wa maswala ya ukimwi mbalimbali kutoka vyombo mbalimbali vya habari jijini dar es salaam wakiwa katika semina hiyo ya kuwajengea uwezo zaidi katika maswala hayo ya ukimwi

Tunasikiliza kwa makini sana
 Waanndishi wa habari wa maswala ya ukimwi muda huu wanapata semina juu ya kuandika habari za ukimwi.Semuna hii imeandaliwa na chama cha wanaandishi wa habari za ukimwi tanzaniaAJAAT .habari hii itakujia kwa mfumo wa makala kadiri siku zinavyokuja,asanten
Simon kerario ambaye ni mwakilishi kutoka TACAIDS tanzania akitoa hotuba kwa niaba ya mkurugenzi wake ambapo pamoja na kuwapongeza waandaaji wa semina hiyo kwa kuwapa elimu wanahabari leo pia amesema kuwa serikali kwa ujumla imejipanga kuendelea kutoa elimu kubwa sana kwa wananchi wa tanzania juu ya gonjwa hilo la ukimwi,

No comments: