Saturday, April 12, 2014

SOKOINE DAY---SOMA MANENO ALIYOYATOA ZITTO KABWE KUHUSU SHUJAA HUYO

Edward Moringe Sokoine, Waziri Mkuu wa 3 na wa 5 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
#OperesheniUhujumuUchumi na #OperesheniUlanguzi

Alitoa na kupitisha Hoja ya Katiba ya kudumu ya mwaka 1977. Kabla ya hapo Tanzania ilikuwa inaongozwa na katiba ya muda.
Mwokozi wa kina Hamad Rashid, Seif Sharif Hamad na wenzake dhidi ya Mzee Aboud Jumbe

RIP Mpambanaji Edward Moringe Sokoine

No comments: