Saturday, April 12, 2014

breaking newzz------DARAJA LA BOKO BARABARA YA BAGAMOYO LAKATIKA KATIKATI,HAKUNA MAWASILIANO HIVI SASA--CHEKI PICHA

Kufuatia mvua kubwa zinazonyesha jijini Dar, Daraja la Boko lililopo Barabara ya Bagamoyo limebomoka na kufunga mawasiliano

No comments: