Basi la New Force Muda muda mchache baada ya kupata Ajali
Taarifa zilizotufikia Muda huu kutoka Igurusi zinasema Basi la New Force lililokuwa likitoka Dar es salaam kuja Mbeya limepata Ajali Mbaya eneo la Igurusi na kusababisha Vifo vya watu wawili hapo hapo.
Imeelezwa kuwa watu hao walikuwa wakitembea kwa miguu na kujeruhi wengine zaidi ya 30 ambao wanakimbizwa Hospitali sasa na kusaidiwa.
No comments:
Post a Comment