Wednesday, June 18, 2014

MH LOWASA AMJULIA HALI SHEIKH MKUU WA DODOMA

Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akizungumza na sheikh mkuu mkoa wa Dodoma,sheikh Adam Zubeir wakati alipokwenda kumjulia hali nyumbani kwake Kikuyu Flats.Sheikh Zubeir amekuwa akisumbuliwa na maradhi na alipelekwa India kwa matibabu hivi karibuni.

No comments: