Mbunge wa Jimbo la Hai, Freeman Mbowe akiwa pamoja na Kamati ya Mfuko wa Maendeleo ya Jimbo (CDF), wakikagua Dara la Marire, Iwala, ikiwa ni sehemu ya ziara anayofanya kwa ajili ya kufanya tathmini ya miradi mbalimbali ya maendeleo jimboni humo ambayo inahitaji kupata msukumo wa kuongezewa nguvu za ujenzi na mfuko huo ambao yeye ni mwenyekiti wake. |
No comments:
Post a Comment