Marehemu Said Ngamba almaarufu ''Mzee Small'' enzi za uhai wake.
MWILI wa msanii mkongwe katika tasnia ya Vichekesho hapa nchini Said Ngamba ''Mzee Small'' Utazikwa kesho saa kumi jioni katika makaburi yaSegerea Jijini Dar.
Marehemu alifariki jana usiku katika Hospitali ya taifa Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu, Mzee Small alifikishwa Hospitali hapo jana Jumamosi tarehe 7 mwezi wa 6/2014 majira ya saa mbili asubuhi baada ya kuzidiwa.
No comments:
Post a Comment