Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole mjane wa Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Small wakati alipokwenda kuhani msiba wa msanii huyo maarufu wa filamu za vichekesho nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam leo Juni 9, 2014 Mama Salma Kikwete akimpa pole mjane wa Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Smal”l wakati alipokwenda kuhani msiba wa msanii huyo maarufu wa filamu za vichekesho nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam leo Juni 9, 2014 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakifariji wafiwa wakati walipokwenda kuhani msiba wa msanii maarufu wa filamu vichekesho Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Small” nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam leo Juni 9, 2014 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika dua wakati alipokwenda kuhani msiba wa msanii maarufu wa filamu vichekesho Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Small” nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam leo Juni 9, 2014 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo wakati alipokwenda kuhani msiba wa msanii maarufu wa filamu vichekesho Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Small” nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam leo Juni 9, 2014 Kulia ni Bw. Mahmoud Saidi, Mtoto wa Marehemu “Mzee Small”Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Bw. Mahmoud Saidi, Mtoto wa Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Small” wakati alipokwenda kuhani msiba wa msanii huyo maarufu wa filamu vichekesho nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam leo Juni 9, 2014Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo ya Marehemu Kanali mstaafu Ali Hassan Mwanakatwe wakati wa hafla ya kuaga mwili wa marehemu katika Hospitali Kuu ya Jeshi (GMH) Lugalo, jijini Dar es Salaam leo Juni 9, 2014.Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Hussein Mwinyi, Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Samuel Albert Ndomba na maafisa waandamizi wa jeshi na waombolezaji wakiwa katika shughuli ya kuaga mwili wa Marehemu Kanali mstaafu Ali Hassan Mwanakatwe katika Hospitali Kuu ya Jeshi (GMH) Lugalo, jijini Dar es Salaam leo Juni 8, 2014. Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake za mwisho kwenya shughuli ya kuaga mwili wa Marehemu Kanali mstaafu Ali Hassan Mwanakatwe aliyefariki dunia Jumamosi asubuhi katika Hospitali Kuu ya Jeshi (GMH) Lugalo, jijini Dar es Salaam. Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akifariji wafiwa kwenya shughuli ya kuaga mwili wa Marehemu Kanali mstaafu Ali Hassan Mwanakatwe aliyefariki dunia Jumamosi asubuhi katika Hospitali Kuu ya Jeshi (GMH) Lugalo, jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment