Monday, July 7, 2014

MKE WA RAIS WA ZANZIBAR AKUTANA NA MKE WA MFALME MUSWATI LEO,PICHA HIZI HAPA

Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Mama Mwanamwema Shein (kulia) akisalimiana na Mke wa Kwanza wa Mfalme Muswati wa Swasiland Mama Nomsa Matsebula,alipofika Ikulu ya Migombani na ujume wake leo,akiwa katika ziara ya siku mbili nchini.

Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Mama Mwanamwema Shein (kulia) akizungumza na Mke wa Kwanza wa Mfalme Muswati wa Swasiland Mama Nomsa Matsebula,alipofika Ikulu ya Migombani na ujume wake leo,akiwa katika ziara ya siku mbili nchini.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

No comments: