Aliyekuwa mtangazaji wa Redio One katika kipindi cha “Spot Leo” Omary Katanga amefuata nyayo za pacha wake Maulid wa Kitenge aliyejiunga na kituo cha redio 93.7 E FM mapema wiki hii.Katanga na Kitenge walikuwa wote Redio One, na wataanza kusikika E FM kesho(Leo) katika kipindi cha michezo cha E Sports, ambacho kitakuwa kikiruka kila siku saa 7:00 – 7:30 usiku.Watangazaji hao wanajiunga na watangazaji wengine maarufu kama Dennis Ssebo, Dickson Ponnela (Dizzo 1), DJ Majay, na Kanky |
No comments:
Post a Comment