Mdahalo mkubwa unaojadili swala la katiba na mustakabali wake unafanyika muda huu ambapo mdahalo huu unatarajia kutoa maoni yake juu ya mchakato mzima wa kabiba hadi hapa ulipofikia,mdahalo huu umeandaliwa na chama cha wanasheria tanzania TLS kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa maswala ya katiba tanzania.mdahalo huu unaanza muda huu hapa katika ukumbi wa ubungo plaza jijini Dar es salaam.watoa masa ni Patrice Lumumba toka kenya na Profesa JENERAL ULIMWENGU kutoka tanzania |
No comments:
Post a Comment