Wednesday, August 6, 2014

MAONYESHO YA NANE NANE LINDI KAMPUNI YA TIGO YAFUNIKA

            Wananchi wa Lindi wakishuhudia burudani ya sarakasi                 iliyoandaliwa na Tigo. 
    Umati wa watu waliofurika kwenye banda la Tigo Nanenane mkoani Lindi kushuhudia promosheni mbali mbali zitolewazo na kampuni hiyo.

Meneja wa Mauzo wa mikoa ya Lindi na Mtwara kutoka Tigo Bw. Daniel Maimuya akimuelekeza Afisa Kilimo wa Mkoa Bw. John Likango jinsi ya kutumia huduma ya Tigo Kilimo, huduma inayomwezesha mkulima kupata taarifa ya jinsi ya kufanya kilimo cha kisasa kupitia simu yake ya mkononi

      Watoto wakicheza mchezo wa kujaza maputo katika maonesho ya Nanenane kitaifa yanayoendelea eneo la Ngongo mkoani Lindi na kudhaminiwa na Tigo. 

     Watoto wakifurahia mchezo wa ‘jumping castle’ spesho kutoka kwa Tigo.


No comments: