Thursday, August 28, 2014

VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA NCHINI WAKUTANA NA KUJADILI USHIRIKI WA MAKUNDI MAALUM KATIKA UONGOZI


Kutoka kushoto ni Dr. Alex Makulilo Mtafiti toka UDSM, Mhe. John Mnyika kutoka CHADEMA , Ndg. Phares Magesa (MNEC) kutoka Chama Cha Mapinduzi na kulia ni mwakilishi kutoka NCCR-Mageuzi !

Tanzania Center for Democracy (TCD) iliwakutanisha viongozi wa vyama vya Siasa wanachama wa TCD ili kupokea taarifa ya Utafiti wa ushiriki wa makundi maalum katika nafasi za uongozi wa nchi, makundi yaliyojadiliwa ni Wanawake, Vijana na Walemavu ... 
Mapendekezo na maazimio ya mkutano huo yanafanyiwa kazi na TCD na baadae yatapelewa kwenye vyama kwa ajili ya kutumia Matokeo ya Utafiti huo ili kuongeza ushiriki wa makundi hayo katika uongozi ndani ya vyama na Taifa kwa ujumla!

No comments: