Tuesday, October 21, 2014

PICHA YA SIKU--AUGUSTINO MREMA MKUTANONI

Hii ndio picha ambayo  kwa leo imejadiliwa sana katika mitandao ikimuonyesha mbunge wa jimbo la vunjo ambaye pia ni mwenyekiti wa chama cha TLP Mh AUGUSTINO MREMA akiwa katika mkutano wa hadhara jimboni kwake na idadi ndogo sana ya wanachama waliohudhuria katika mkutano huo.

No comments: