Thursday, March 19, 2015

KINANA ALIPOFIKA JIMBO LA NASSARI ARUMERU,MAMBO YAKAGEUKA KINYUME

Inasemekana hii ni ziara ya katibu mkuu wa chama cha mapinduzi ccm ambayo anaifanya mikoa ya kaskazini ambapo hapa ni katika jimbo analoongoza JOSHUA NASSARI wa chadema jimbo la ARUMERU,picha hizi nimezitoa katika ukurasa wa fb wa mbunge nasari na maneno haya ameandika yeye,hebu yasome

                                   Joshua Nassari added 5 new photos.

1 hr · 

Pole sana comrade Kinana. Hii ndo Arumeru. Watu wanaoishi huku wakisema Hapana huwa wanamaanisha na wanasema kwa herufi kubwa. Walishakataa Kuwa sehemu ya dhuluma, mateso na dhambi kwa taifa lao.
Ndio maana mwaka 1952 walichanga fedha wakamtoa na kumtuma mtanganyika wa kwanza kwenda UNO wakati huo New York Marekani kudai ardhi yao. 

Pole Kwa kukosa watu kabisa na kushindwa kufanya kabisa mkutano wa hadhara tengeru, lakini pole pia kwa kuhutubia uliokuwa nao kwenye msafara kwenye vijiji vingine uliyokwenda leo Arumeru



No comments: