Kumekua na taarifa zilizopo katika mitandao zinaenea kwa kasi sana zikieleza kuwa mama maria nyerere amefariki dunia leo saa sita mchana,habari hizo sio za kweli na mtandano huu umezungumza na watu wake wa karibuni na wamekiri kupata taarifa hizo ila mama maria ni mzima wa afya na yupo nyumbani kwake akiendelea na kazi zake nyingine,
ewe mtanzana unaombwa kuupuuza ujumbe huo endapo utaupata katika simu yako na kuwataarifu watanzania kuwa waondoe hofu kuwa mama ni mzima na hana tatizo lolote la kiafya kwa sasa.nawatakia siku njema, |
No comments:
Post a Comment