Thursday, March 12, 2015

TANGAZO LA KUPOTEA KWA NDUGU NSAJIGWA KENNEDY MWANG'ONDA

Familia ya Marehemu Robert Mwang'onda wa Mabibo jijini Dar es Salaam wanapenda kutangaza kupotelewa na ndugu yao Nsajigwa Kennedy Mwang'onda ambaye aliondoka nyumbani Mabibo CCM - Karibu na Chuo Cha Usafirishaji toka tarehe 26-2-2015. 
      Anamatatizo la kupoteza Kumbukumbu Atakayemuona awafahamishe kwa simu namba 0715 919 168 Frank Mwang'onda,0682 822 1110754 631 888 Au atoe taarifa kituo chochote cha Polisi kwa URP/RB/2331/2015

No comments: