Thursday, March 12, 2015

GAPCO YAIPIGA TAFU MAENDELEO YA MICHEZO YA RIADHA NCHINI

Mkurugenzi mkuu wa GAPCO Afrika Mashariki Macharia Irungu akimpongeza Simon Mlewa mshindi wa kwanza mbio za walemavu kwa upande wa wanaume wanaotumia tricycle.
Mkuu wa wilaya ya  Moshi Novatus Makunga akimkabidhi zawadi Joseph Mungure mshidi wa kwanza mbio za walemavu kwa upande wa wanaume wanaotumia wheelchair. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa GAPCO Tanzania Vijay Nair, Meneja Masoko Caroline Kakwezi na Mkurugenzi Mkuu wa GAPCO Afrika Mashariki Macharia Irungu. Kulia ni Katibu Mkuu wa kamati ya michezo ya walemavu Tanzania (Paralympic) Peter Sarungi.
Mkuu wa wilaya ya Moshi Novatus Makunga akimkabidhi zawadi mshindi wa kwanza mbio za walemavu kwa upande wa wanawake Linda Macha. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa GAPCO Tanzania Vijay Nair na Meneja Masoko Caroline Kakwezi

No comments: