Wednesday, April 8, 2015

TIZAMA ALICHOKIFANYA MH SUGU JIMBONI KWAKE JANA


Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi "Sugu" leo tarehe 8/4/2015 amekutana na viongozi wa Chama ngazi ya Kata kutoka kata za Kalobe, Nzovwe, Iyunga, Iwambi na Itende, Mbunge ameanza ziara hizo kwa jimbo lote kwa ajili ya kutoa ripoti ya miaka mi5 ya kazi zake kwa viongozi wa Chama ngazi za chini



No comments: