| Sehemu ya umati, uliokusanyika katika viwanja vya kufurahisha watoto, Kariakoo, Zanzibar katika kuadhimisha siku ya Karume, iliyoandaliwa na Tigo. |
Watoto wakishindana kudansi nyimbo za kisasa katika viwanja vya kufurahisha watoto, Kariakoo, Zanzibar katika kuadhimisha siku ya Karume, iliyoandaliwa na Tigo.
No comments:
Post a Comment