Monday, June 15, 2015

BREAKING NEWSSS MUFTI MKUU WA TANZANIA SHEIKH ISSA BIN SHAABAN SIMBA AFARIKI DUNIA


MUFTI  Mkuu wa Tanzania, 

Sheikh Issa Bin Shaaban Simba, 

enzi za uhai wake.

Habari zilizofika chumba chetu cha habari mapema asubuhi leo na kuthibitishwa na mamlaka husika zinasema Mufti Mkuu wa Tanzania,  Sheikh Issa Bin Shaaban Simba,  amefariki dunia alfajiri ya leo katika hospitali ya TMJ jijini Dar es Salaam. 

Habari hizo zinasema mwili wa marehemu umeondolewa hospitali hapo na kuhamishiwa hospitali kuu ya Jeshi ya Lugalo kungoja taratibu za mazishi

Tutaendelea kuwaletea taarifa zaidi 

kwa kadri  zitapopatikana.

Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un 

إِنَّا للهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ‎) 

No comments: