Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Tigo John Wanyancha akifafanua jambo
wakati akiongea na waandishi wa habari kuhusu tamasha la Mnazi Mkinda lenye lengo
la kuendeleza vipaji kwa Wanafunzi wa Shule za Msingi Wilayani Ilala, tamasha hilo linategemewa kufanyika Juni 2-3
mwaka huu, kushoto kwake ni Afisa Elimu wa Wilaya ya Ilala Bi Elizabeth Thomas.
|
No comments:
Post a Comment