Monday, June 1, 2015

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA WAKATI MAKONGORO NYERERE AKITANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAISI


Makongoro Nyerere leo naye amejitosa katika vita kubwa ambayo imeanza mwishoni mwa wiki jana ya kuwania kuingia ikulu ya magogoni baada ya leo kutangaza nia ra kugombea Urais kupitia chama cha mapinduzi leo nyumbani kwake Butiama.
Makongoro nyerere amekuwa mtu wa tano kutangaza baada ya Luanga mpina,Edward Lowasa,Stephen Wasira na Mwigulu Nchemba kutangaza nao nia ya kuwania nafasi hiyo nyeti serikalini

No comments: