Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (wa pili kulia), akipata maelezo kuhusu bidhaa za ujasiriamali za kikundi cha Umoja wa Kinamama wa Kikristo (UMAKI) wa Kanisa Angikana Dayosisi ya Zanzibar, kabla ya kufungua Mkutano Mkuu wa Nne wa UMAKI mjini Unguja jana. Picha na John Badi |
No comments:
Post a Comment