Sunday, July 5, 2015

CCM BAGAMOYO WAPATA MWENYEKITI MPYA

Menyekiti mpya wa ccm wilaya ya Bagamoyo, Almasi Isa Masukuzi ambae amewashinda wagombea wenzie wawili Jabiri Joseph Masenga na Huseni hading'oka na hivyo kutangazwa yeye kuwa mwenyekiti mpya wa ccm wilaya ya Bagamoyo.

Uchaguzi huo umefanyika kufuatia kuondolewa madarakani kwa mwenyekiti wa zamani Shaibu Mtawa kwa kosa la kubolewa ofisi ya ccm wiya katika eneo la Gama wilayani humkinyume na utaratibu

No comments: