Mkuu wa Mkoa wa Pwani ,Mhe.Eng Evarist Ndikilo akikata utepe kuzindua rasmi Duka Jipya la Tigo lililopo Kibaha, wanaoshuhudia kutoka kushoto ni Mmiliki wa Hotel ya Njuweni Yusuph S. Mfinanga, Meneja wa ubora huduma kwa wateja wa Tigo Bi. Mwangaza Matotola, Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Pwani Goodluck Charles na mwisho kulia ni Meneja wa Tigo tawi la Kibaha Asnat Mboya.
Meneja wa Tigo tawi la Kibaha Asnat Mboya akiwakaribisha wageni waalikwa na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa Duka Jipya la Tigo Kibaha mkoani Pwani.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani ,Mhe.Eng Evarist Ndikilo akiongea na wanahabari na wafanyakazi wa Kampuni ya Tigo Kibaha Mkoani Pwani kabla ya uzinduzi wa Duka Jipya.
Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Pwani, Goodluck Charles akiongea na wanahabari na wafanyakazi wa Kampuni ya Tigo Kibaha Mkoani Pwani wakati wa uzinduzi wa Duka Jipya.
Meneja wa Mawasiliano wa Kampuni ya Tigo, John Wanyancha akiongea na wanahabari na wafanyakazi wa Kampuni ya Tigo Kibaha Mkoani Pwani wakati wa uzinduzi wa Duka Jipya.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani ,Mhe.Eng Evarist Ndikilo (katikati) akiongea na Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Pwani Goodluck Charles (kushoto) na Meneja wa Operesheni kwa Wateja wa Tigo Kanda ya Pwani, Isack Shoo wakati wa uzinduzi wa Duka jipya la Tigo Kibaha Mkoani Pwani leo.
Meneja wa Operesheni kwa Wateja wa Tigo Kanda ya Pwani ,Isack Shoo akimuonyesha Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe.Eng Evarist Ndikilo bidhaa mbalimbali zilizopo kwenye Duka jipya la Tigo lilizinduliwa leo Mjini Kibaha.
Wafanyakazi wa Duka Jipya la Tigo Kibaha Mkoani Pwani (Team Tigo Kibaha) wakipozi kwenye picha ya pamoja kabla ya uzinduzi wa Duka lao.
No comments:
Post a Comment