![]() |
Mhe. Jaji mstaafu
Thomas Mihayo akikata utepe kwa ajili ya kuizindua rasmi KATIBA INFORMATION
CENTRE mapema asubui hii.
|
![]() |
Muonekano wa KATIBA INFORMATION CENTRE ya kisasa kabisa katika ofisi za LHRC - Mbezi Upepo Avenue ambapo ndio uzinduzi huo umefanyika leo |
![]() |
Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Dr. Helen Kijo-Bisimba akifungua rasmi uzinduzi wa KANZIDATA ya KATIBA |
![]() |
Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Dr. Helen Kijo-Bisimba akiwa na mgeni rasmi Mhe. Jaji mstaafu Thomas Mihayo katika zoezi la Uzinduzi rasmi wa KANZIDATA (DATA BASE) ya KATIBA. |
![]() |
Wageni waalikwa wakiuliza maswali mbali mbali kuhusu KANZIDATA ya KATIBA. |
![]() |
Kwaya ya mwalusanya ikitoa burudani katika uzinduzi huo leo |
No comments:
Post a Comment