Mwanamuziki wa muzik wa kitanzania Raia wa Italia
CHRISTIAN REVS BAR maarufu kama MUZMAMOYO amesema kuwa ana mpango wa
kukamilisha albam yake inayokwenda kwa jina NEW VESSION alibam ambayo inataraji
kikamilika mapema mwezi huu.
Akipiga story na mwandishi wa mtandao huu amesema
kuwa albam hiyo imejikita kuelimisha jamii ikiwemo watanzania kutakiwa kuwa
wazalendo na nchi yao katika kufanya amani ya nchi hii kuendelea kuwa nzuri
kama ilivyo sasa.
Aidha amewataka wasanii wa kitanzania kuimba muzik
inayoelimisha jamii haswa kipindi hiki cha uchaguzi na sio kujikita katika music
wenye maudhui ya mapenzi pekee
|
No comments:
Post a Comment