Habari ambazo zimetufikia ni kuwa mgombea Urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia UKAWA ndugu EDWARD LOWASA kesho anataraji kufanya tukio lingine Dar es salaam katika hotel ya Bahari Beach Tukio ambalo ni uzinduzi wa kampeni iliyopewa jina la TOROKA UJE,kampeni ambayo inatajwa kuamsha Ari ya wapenzi wa vyama hivyo huku ikitajwa kuwa inaweza kuwazoa baadhi ya vigogo na kuhamia chama hicho.Mtandao huu utakuwa karibu na matukio hayo na utakupa kinaga ubaga . |
No comments:
Post a Comment