Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mhe Shamsi Vuai Nahodha akisalimiana naViongozi wa CCM wa Mkoa wa Kusini Unguja baada ya kuwasili katika viwanja vya mkutano wa hadhara wa kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, uliofanyika viwanja vya mpira bungi.
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Viongozi wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja alipowasili katika viwanja vya mpira bungu kuhudhuria Mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein.
Wanachama wa CCM wakiingia katika viwanja vya mkutano wa kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, wakiwa na picha za Wagombea
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Ndg Ramadhan Abdalla alipowasili katika viwanja vya Bungu kuendelea na Kampeni zake za kugombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM.
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya mkutano Bungi akiwapungia mkono Wananchi waliohudhuria mkutano huo wa Kampeni katika viwanja vya mpira Bungi akiongozana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai .
Mgombea Urais wa Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya bungi kuaza kwa kampeni yake akiwa na Viongozi wa CCM kushoto Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai na kushoto Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Ndg Ramadhan Abdalla, wakielekea jukwaa kuu kwa ajili ya mkutano huo.
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakimsikiliza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein. uliofanyika katika viwanja vya bungi.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Ndg Ramadhan Abdalla akiwahutubia Wananchi wakati wa mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, uliofanyika katika viwanja vya mpira Bungi Unguja.
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakishangia wakati wa Mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM uliofanyika katika viwanja vya Bungi Wilaya ya Kati Unguja.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai akiwahutubia WanaCCM wa Mkoa wa Kusini Unguja wakati wa Mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM akisoma Ilani ya Uchaguzi ya CCM ambayo ilivyotekelezwa kwa kiasi kikubwa katika miradi mbalimbali ya maendeleo Zanzibar, na kuwataka Wananchi kumchagua Dk Shein kwa maendeleo zaidi kwa Zanzibar na Wananchi wake.
Kada wa CCM Bi Amina Salum Ali akiwahutubia Wananchi wakati wa mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM na kuwata kumpigia Kura ya Ndio Dk Ali Mohamed Shein, ili kuendelea kuwaletea maendeleo.
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mhe Shamsi Vuai Nahodha akiwahutubia Wananchi wakati wa Mkutano wa Kampeni ya Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya mpira Bungi Wilaya ya Kati Unguja.
Wanachama wa CCM wakishangia wakati wa Mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar katika viwanja vya Bungi Unguja.
Wanachama wa CCM wakimshangilia Mgombea wa Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein wakati akiwahutubia katika mkutano wa kampeni uliofanyika viwanja vha mpira Bungi Wilaya ya Kati Unguja.
Viongozi wa meza kuu wakimkaribisha Mgombea wa CCM Dk Ali Mohamed Shein, akipanda jukwaani kwa ajili ya kuwahutubia Wananchi katika mkutano wake wa Kampeni katika viwanja vya Bungi Wilaya ya Kati Unguja
Wanachama wa CCM wakimshangilia Mgombea wa Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein wakati akipanda jukwaani kwa ajili ya kuwahutubia katika mkutano wa kampeni uliofanyika viwanja vha mpira Bungi Wilaya ya Kati Unguja.
Viongozi wa meza kuu wakimkaribisha Mgombea wa CCM Dk Ali Mohamed Shein, akipanda jukwaani kwa ajili ya kuwahutubia Wananchi katika mkutano wake wa Kampeni katika viwanja vya Bungi Wilaya ya Kati Unguja.
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi na Wana CCM katika mkutano wake wa Kampeni uliofanyika katika viwanja vya Mpira Bungu Wilaya ya Kati Unguja na kuomba Kura kuendelea kuiongoza Zanzibar kwa Maendeleo katika sekta mbalimbali za Kijamii na kuendeleza kukuza Uchumi wa Zanzibar.
Wanachama wa CCM wakimshangilia Mgombea wa Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein wakati akiwahutubia katika mkutano wa kampeni uliofanyika viwanja vha mpira Bungi Wilaya ya Kati Unguja.
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia mkutano wa Mgombea Urais wa CCM Dk.Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya bungi Wilaya ya Kati Unguja wakati akitangaza Sera za CCM katika mkutano wake wa Kampeni Unguja.
Wagombea Uwakilishi katika Jimbo la Kiembesamaki Mhe Mahmoud Thabit Kombo na Mgombea Uwakilishi Jimbo la Muyuni Mhe Jaku Ismail wakifuailia mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Bungi Wilaya ya Kati Unguja.
Kijana akitowa ishara kwa Wananchi wenye ulemavu wa kutokusikia kwa alama ya Ishara wakati mgombea wa CCM Dk Ali Mohamed Shein, akihutubiwa katika mkotano wake wa Kampeni katika viwanja vya mpira Bungi Wilaya ya Kati Unguja.
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakiwa katika viwanja vya mpira Bungi wakimsikiliza Mgombea Urais wa CCM Dk Ali Mohamed Shein, akiwahutubia na kutangaza Sera za CCM katika kipindi kijacho cha Uongozi wake kuendelea Maendeleo kwa Wananchi wa Zanzibar katika Sekta mbalimbali Zanzibar.
Taswira katika viwanja vya mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein viwanja vya Bungi Wilaya ya Kati Unguja, mwananchi huyu akifuatilia Sera za CCM wakati Mgombea akiwahutubia.
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakimshangilia Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, wakati akihutubiwa Wananchi katika Mkutano wake wa Kampeni uliofanyika katika viwanja vya mpira Bungi Unguja.
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Wananchi Wanachama wa CCM baada ya kumaliza kwa mkutano wake wa Kampeni ya Kugombea Urais wa Zanzibar uliofanyika katika viwanja vya mpira Bungi miembe mingi Wilaya ya Kati Unguja Mkoa wa Kasini Unguja.
Imetayarishwa na Othmanmapara.Blogspot. Zanzinews,com
No comments:
Post a Comment