Mgombea ubunge jimbo la Vunjo Mhe. James Mbatia akiongea na wananchi wa Kahe jimbo la Vunjo katika viwanja vya Oria shule ya msingi leo Jumapili 27/09/2015 |
Mhe. Edward Ngoyai Lowassa na Mhe. Fredrick Sumaye wakiwasili katika viwanja vya Oria shule ya msingi na kupokelewa na mgombea wa ubunge kwa jimbo la Vunjo kupitia NCCR Mageuzi,leo Jumapili 27/9/2015 |
Mhe. Edward Ngoyai Lowassa akiongea na wananchi wa Himo katika viwanja vya Himo Polisi leo Jumapili 27/09/2015
No comments:
Post a Comment