Tuesday, November 3, 2015

Pichaz--TB Joshua atua kwa lowasa Jioni Hii


Baada ya kuwasili nchini Tanzania kwa ajili ya kushughudia tukio la kuapishwa kwa Rais wa awamu ya tano nchini Tanzania muhubiri maarufu kutoka Nchini Nigeria TB JOSHUA amepata nafasi ya kumtembelea pia aliyekuwa mpinzani mkubwa wa Rais Mpya Ndugu EDWARD LOWASA nyumbani kwake kwa ajili ya kumpa salamu zake kufwatia uchaguzi kumalizika kwa amani nchini.

Awali mhubiri huyo alimtembelea pia Rai Mteule wa Tanzania DRJOHN POMBE MAGUFULI na Rais anayemaliza muda wake Jakaya Kikwete.Hapa kuna picha kadhaa akiwa kwa LOWASA.

 

No comments: