NEEMA MSUKWA ambaye alikuwa mwanachama wa chama cha NCCR mageuzi akikabidhiwa kadi mpya ya ACT WAZALENDO |
Rukia Mwene Kutoka UPDP naye ni mmoja kati ya wanachama waliotimkia ACT WAZALENDO |
Chama cha ACT wazalendo kiimepokea wanachama zaidi ya kumi (10) kutoka vyama vya TLP,na
NCCR-Mageuzi ambao wengi walikuwa ni viongozi wa ngazi mbalimbali ndani ya
vyama hivyo pamoja na wanachama wa kawaida.
Baadhi ya viongozi
waliojiunga na ACT wazalendo leo ni pamoja na aliyekuwa katibu mkuu wa wanawake
NCCR-mageuzi GETRUDA PWIRA, aliyekuwa kiongozi wa vijana wa MUSEVERO KUSAGA
pamoja na NEEMA MSUKWA kutoka NCCR,na wanachama wengine wengi.
GETRUDE PWIRA ambaye
ametoka NCCR na kujiunga na ACT wazalendo amesema kuwa ameamua kuachana na
siasa za uwongo na uzishi na sasa ameamua kuyafwata mabadiliko ya kweli ambayo
amedai yapo ndani ya chama hicho chake kipya.
Nimekuwekea video yote
ya maelezo ya wanachama hao wapya wa act wazalendo
No comments:
Post a Comment