Monday, March 21, 2016

HABARI PICHA KUTOKA CHADEMA NDANDA


Mbunge wa jimbo la Ndanda kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Cecil Mwambe akihutubia wananchi waliojitokeza kwenye mkutano uliofanyika uwanja wa Fisi wilaya ya Masasi.

No comments: