Monday, March 14, 2016

Habari picha---Wazazi mtwara waamua kufyetua matofali wenyewe kujenga choo cha shule ya kata

Wakazi wa vijiji vya kata ya Lukuledi wilaya ya Masasi, washiriki kwenye shughuli za ufyatuaji wa matofali kwa ajili ya Ujenzi wa choo cha shule ya kata ya Lukuledi, baada ya mbunge kutimiza Ahadi yake ya kuchangia cement pamoja role ya bomba ili kuweza kuweka maji kwenye choo hiyo pamoja na maabara, hata ivyo, Diwani wa eneo hilo, kutikea Ccm alosusia zoezi hilo kwa kile alichodai wanatofautiana itikadi za kichama. 



No comments: