Friday, March 18, 2016

MAONYESHO KATIKA MKUTANO WA BODI YA USAJILI WA WABUNIFU MAJENGO NA WAKADIRIAJI MAJENZI

 Theresia Mmasy (kulia) afisa masoko wa kampuni ya Alaf akitoa maelezo kwa wageni waliotembelea katika banda lao wakati wa mkutano wa bodi ya usajili wa wabunifu majengo na wakadiriaji majenzi unaofanyika mkoani Mtwara.(kushoto) Weruwetsa Ngowi sales engeneer wa kamapuni ya Alaf akitoa maelezo kwa wageni waliotembelea banda lao.


No comments: