Tuesday, March 22, 2016

Picha zote za shamra shamra za Meya mpya wa Dar es salaam ziko hapa

Hapa nimekuwekea picha kadhaa za leo kutoka Dar es salaam wakati wa uchaguzi wa meya mpya wa Jiji hilo ambalo limekwenda upinzani ambapo Diwani wa kata Vijibweni Mh ISAYA CHARLES CHACHA ametangazwa rasmi kuwa meya mpya wa Jiji hilo katika uchaguzi uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee,ambapo baada ya ushindi huo meya huyo mteule amepata nafasi ya kuzungumza na wananchi waliojitokeza makao makuu ya CHADEMA kumlaki  meya huyo.



 

No comments: