Saturday, June 18, 2016

KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM JIJINI DAR

KAMA01Mwenyekiti wa CCM na Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete akifungua Mkutano wa Kamati Kuu ya CCM kwenye Ofisi Ndogo ya CCM Mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam Juni 18, 26. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula na Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM , Abdulrahman Kinana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu))
KAMA1Makamu wa Rais Samia Suluhu, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na  Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi  wakifuatilia kikao cha Kamati  Kuu ya CCM kilichoongozwa na Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kwenye Ofisi ndogo ya CCM mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam Juni 18, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
KAMA2Baadhi ya wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM wakimsikiliza Mwenyekiti wa CCM Rais Mstaafu Jakaya Kikwete wakati alipofungua kikao chao kwenye Ofisi ndogo ya CCM Mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam Juni 18, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
KAMA3Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akizungumza pamoja na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana (kushoto) pamoja na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu, Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Zuberi Ali Maulid na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Dk. Tulia Ackson mara baada ya kumaliza kikao maalum kwenye ofisi ndogo za CCM Lumumba jijini Dar es salaam ( Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
KAMA4Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akizungumza na Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Zuberi Ali Maulid na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Dk. Tulia Ackson mara baada ya kumaliza kikao maalum cha Kamati Kuu ya CCM  kilichofanyika , Makao makuu ya CCM, Ofisi Ndogo Lumumba(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
SENDE

No comments: