Saturday, June 11, 2016

VIDEO--JUKATA WAMERUDI TENA--WATANGAZA KUANZA KUDAI KATIBA MPYA UPYA

Baada ya kimya cha muda mrefu kuhusu  sakata la Kupatikana kwa katiba Mpya Hatimaye jukwaa la katiba Tanzania wametangaza Rasmi kurejesha mchakato huo upya ili kuamsha uwezekano wa Serikali kuanza tena mchakato huo ambao uneonekana kusahaulika na wahusika.

Mwenyekiti wa Jukwaa la katia Tanzania DEUS KIBAMBA amesema kuwa wamemua kusaidia kuanzisha ambapo wameanza kampeni mpya inayolenga kufufua mchakato wa katiba mpya baada ya kugundua mchakato huo ulijisimamisha wenyewe na sasa unasubiriwa uanze tena wenyewe..
HAPA KUNA VIDEO YA ALICHOZUNGUMZA DEUS KIBAMBA..KARIBU

No comments: