Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwenyekiti wa CCM na Mhe Dk John Pombe Joseph Magufuli akiwa meshikana mikono na Mhe Lembeli huku akiongozana naye , Lembeli Amesema yuko tayari kurudi CCM wakati wowote akihitajika kurudi ili kumasidia Rais “Nilitoka CCM kwa sababu Ruswa ilitamalaki” Lembeli amezungumza hayo mchana wa leo katika mkutano mkubwa wa hadhara huko mjini Kahama.
Rais Dk. John Pombe Magufuli akizungumza katika mkutano huo amemwambia Lembeli “Rudi kundini kadiri utakavyoguswa ili tuijenge nchi kwa sababu huko uliko huwezi kujenga nchi.
No comments:
Post a Comment