Mwenyekiti wa Chama Taifa wa CHADEMA Freeman Mbowe akiongozana na baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu, Edward Lowassa, John Mnyika, Mkiti wa Baraza la Wazee Hashimu Issa Juma na Mwanasheria Mkuu wa Chama Tundu Lissu, wakiwasili Kituo Kikuu cha Polisi (Central) Kanda Maalum ya Dar es Salaam, ambapo Mwenyekiti Mbowe ameitikia wito wa jeshi hilo kupitia wa ZCO Wambura wa kumhitaji afike hapo leo. |
No comments:
Post a Comment