Monday, July 4, 2016

NI MAHABA-LOWASA AZUIWA NA WANANCHI NJIANI AKITOKEA KENYA,WATAKA TU KUMUONA

Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Edward N Lowassa mchana wa Jana alijikuta akisimamishwa na wanachi waishio mpakani mwa Kenya na Tanzania (Namanga) wakiomba kumsalimia na kuelezea hisia zao na mapenzi yao juu yake ambapo aliwasisitiza kutokata tamaa kwani mapambano ndio yameanza na dhamira ya kuwakomboa watanzania haijafifia wala kupotea .. "Ipo siku haya yote yatakwisha" alimaliza kwa kuwaambia maneno hayo.



No comments: