Mamia ya wakazi wa Jiji La Dar es salaam leo wamejitokeza kwa wingi wakiongozwa na Kiongozi Mkuu wa kiroho wa waislam wa dhehebu la Shia ITHNASHERIYA TanzaniaSheikh HEMED JALALA wamejitokeza kwa wingi katika mitaa ya Dar es salaam kufanya matembezi ya amani kulaani vikali matendo ya unyanyasaji na ukandamizwaji unaoendelea katika nchi ya palestina ikiwa leo ilikuwa ni maadhimisho ya siku ya QUDS Duniani ambayo ni siku ya kukumbuka na kupaza sauti kulaani matendo maovu yanayofanywaq juu ya wanadamu wa Taifa la palestina matendo ambayo yamekuwa yakifanywa na Taifa la ISRAEL. |
No comments:
Post a Comment